Unaambiwa Masaa 12 Yameishaa, Kajala Hajafuta Post Wala Kuomba Radhi , Jana tuliona Barua ya Mawakili wa Hamisa Mobetto Wakimtaka Kajala Masanja Afute Post ambayo inamuhusisha Hamisa Mobetto na Tukio la Video mbaya za Rayvanny na Paula la sivyo watamshitaki , Mpaka wakati huu Kajala Hajafuta Post hiyo, Wadau Wanadai Kuna Mengi yamejificha, Yetu Macho
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
0 Comments