Unaambiwa Wanaume Wapo Nyuma Katika Kupima Ukimwi Ndio Maana Wanaongoza Kufariki

 


Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI, Dkt. Leonard Maboko amesema Wanaume wapo nyuma kwenye upimaji na ambao wamepima na kubainika na maambukizi wamekuwa wakichelewa kuanza Dawa


Amesema, "Wanaume wapo nyuma katika kufubaza VVU ikimaanisha hawatumii Dawa za ARV vizuri na kwa sababu hiyo Takwimu zinaonesha Wanaume wanaongoza kwa vifo ikilinganishwa na Wanawake"


Dkt. Maboko amesema Wanawake wanapima na kuanza Dawa haraka hivyo hata vifo vinapungua, tofauti na Wanaume

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE