Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Video: Koffi Olomide akitumbuiza wimbo wa Diamond kwa mara ya kwanza akiwa Bongo

 


Msanii Mkongwe kutokea Congo Koffi Olomide awashtukiza Mashabiki wake waliohudhuria show yake ya Usiku wa Rumba iliyofanyika usiku wa kuamkia February 12, kwa kuutumbuiza kwa mara ya kwanza wimbo alioshirikishwa na Diamond wa ‘Waah’

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Koffi alipoanza kutumbuiza wimbo huo alipata shangwe kutoka kwa Mashabiki wake walioamua kusimama na kucheza.. Bonyeza Play hapa chini kutazama.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments