VIDEO:Utofauti wa Nywele za Paula Siku Unatoka na Hamisa Mobetto na Siku Aliyojirekodi na Ravvanny Utata Mtupu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ni Kweli Tarehe 9 siku ya Jumanne Hamisa na Alikuwa na Paula na Walitumia Prado ya Hamisa, Lakini Mbona Wigi Alilovaa Siku hiyo ni Tofauti na Lililoonekana kwenye Video za Rayvanny...?

Labda kuna zaidi ya kutoka siku hiyo labda walitoka siku nyingine tena, nadhani Kajala ni mtu mzima mpaka kusema Hamisa ndio kampeleka kwa Rayvanny , inawezekana kuna mengine nyuma ya pazia au haujui ukweli mtoto wake alifikaje kwa Rayvanny

Tazama VIDEO:



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. INAWEZEKANA NDIO ALIWAUNGANISHA HUKO NYUMA!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad