Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wanafunzi wa Kike 300 Watekwa

 


Wanafunzi 300 katika Jimbo la #Zamfara lililoko Kaskazini Magharibu mwa Nigeria wametekwa nyara Ijumaa asubuhi baada ya shambulio


Msemaji wa Gavana wa Jimbo amethibitisha kutokea kwa shambulio hilo. Hili ni tukio la karibuni la utekaji unaowahusisha Watu wengi


Watu wenye silaha huwateka Wasichana wa Shule kwa ajili ya kupata fedha.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments