Wapiga debe 30 wamekamatwa katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli Bus Terminal kwa kusababisha usumbufu kwa Abiria
Meneja wa Stendi, Maira Mkama amesema wapiga debe waliokuwa Ubungo, Riverside na Mbezi wamevamia stendi hapo
Mkama ameliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum kuongeza Askari na gari kwaajili ya doria ili kuwakamata wapiga debe watakaoendelea na shughuli hiyo
Stendi mpya ya Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi jirani imeanza kutumika Februari 25 ambapo Stendi ya Ubungo imefikia ukomo wa matumizi
Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
0 Comments