Wastara Juma Amvaa Rayvanny "Rayvanny Umenichefua Sana Ningekuwa ni Mimi sijui Ningekufanya nini"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kupitia ukurasa wake wa Instagram bidada Wastara amefunguka haya kwa Vanboy
👇👇👇👇
"RAYVAN umenichefua sana ningekuwa ni mimi sijui ningekufanya nini kosa gani kakufanyia kajala mpka umlipe maumivu makubwa hivi
Jamani haya mambo yanatokea kwenye familia yoyote ile sio mageni isiwe sababu ya kumdharirisha huyo mtoto na mamaake hata wao wanaumia mvae viatu vyao vaeni viatu vya kajala hata kwa dakika 5 ujue anayopitia inauma ni kama yeye ndio kafanya huo ujinga maana maumivu yote kayabeba yeye."
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nimemdharau sana Rayvan!! yaani umemtendea vibaya sana Paula. Je angekuwa ni mtoto wako ?? hata kama mama yake ana makosa Paula hapaswi kulipa. Mtoto wa mwenzio akishika haja kubwa unamlisha au unamsafisha? kama mzazi wake hayupo? ulichomtendea Paulo hakifai kabisa kwa jamii ya wastaarabu. umeharibu sana CV yako!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad