Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

We ni Underground na Ungependa Kufanya Collabo na Rosa Ree? Ndoto yako inaweza Kutimia, Sikia hii


We ni underground na ungependa kufanya collabo na Rosa Ree? Ndoto yako inaweza kutimia, sikia hii, Rosa Ree ametoa fursa ya upcoming artists kuonesha vipaji vyao kupitia dundo la ngoma yale ambayo kaiweka instagram , na mshindi Rosa Ree atafanya nae collabo...Tazama Video Kwa Maelekezo zaidi

 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments