Wema Sepetu Amuumbua Mpenzi Wake Hadharani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Kuelekea siku ya wapendanao "The Tanzanian sweetheart" Wema Sepetu ameshea stori yake kuhusu mpenzi wake wa zamani ambaye waliachana kwa sababu mwanaume huyo hakuwa na nguvu za kiume.


Staa huyo wa filamu ameshea hilo kupitia Insta Live, baada ya mashabiki wengi kutamani kujua mahusiano yake ya sasa ambapo amefunguka kuwa 



 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

"Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye kwenye interview zangu nilikuwa namtaja sana, moja kati ya vitu ambavyo tulifanya tukaachana ni yeye kukosa nguvu za kiume, ilikuwa mbaya sana kwangu kwa sababu kila mtu anamatamanio yake na ukiwa kwenye mapenzi kitachofanya mapenzi yenu yanoge ni tendo la ndoa" amesema Wema Sepetu 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usikubali tena kuchezewa mwiili wako mwangu, you are gourgeous.
    Anae kupenda alipe mahari achukue jukumu. Hamo analalamika. Mwalike.

    ReplyDelete

Top Post Ad