Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wimbo wa Jux watumika kwenye sherehe za msanii huyu wa MarekaniRapa wa kike kutoka nchini Marekani Megan Jovon Ruth Pete alimaarufu Megan Thee Stallion, siku ya jana alisikika akiwa Insta live akiusikiliza wimbo wa Juma Jux kutoka katika soko la muziki wa Bongo Fleva ‘MAPEPE’Rapa huyo amabye mpaka hivi sasa ametimiza miaka 26 alizaliwa February 15 ya mwaka 1995 katika mitaa ya San Antonio Texas aliburudika wakati yupo anasherehekea kutimiza mwaka mwigine akiisikiliza ngoma hiyo ya Jux.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments