Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Zuchu aweka rekodi mpya Africa kwa wasanii wa kike wa muziki

 


Leo record mpya imeandikwa na Zuchu katika bara la Africa.


Amekuwa msanii wa kwanza wa kike kufikisha views million 1 kwenye YouTube ndani ya masaa 22.


Hongera queen wa bongofleva. Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments