2/03/2021

Zuchu Ndiye Mwanamuziki wa Kwanza wa kike Mashariki Kupata Watazamaji Milioni 100 Katika Youtube

 


Mwanamuziki wa Tanzania Zuhura Othman , al maarufu Zuchu amekua mwanamuziki wa kwanza wa kike Afrika Mashariki anayeimba peke yake kupata jumla ya watazamaji milioni 100 kwenye mtandao wa Youtube.

Mwanamuziki huyo kutoka kampuni ya Wasafi amepata kutokana na wimbo wake alioutoa hivi karibuni kwa jina ''sukari'' ulioikonga mioyo ya mashabiki na wapenzi wa muziki wake.


Kampuni ya Wasafi, ambayo pia ni nembo inamilikiwa na Mwanamuziki maarufu wa Bongo Flava, Naseeb Abdul al maarufu Diamond Platnamz.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger