Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Anjella 'Nilitaka Kunywa Sumu Kisa Mama'

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREAnjella amesema kuna wakati alitaka kutoroka na kunywa sumu kwani mama yake hakuwa akimsapoti kutimiza ndoto zake kimuziki

Anjella amesema mama yake sio mtu ambaye anapenda muziki kwa sababu ni mtu wa kanisani lakini anamshukuru Mungu amesimamia malengo yake mpaka leo amefanikiwa kusainiwa Konde Gang.

"Nilimwambia mama watanikataza, watanipiga lakini msimamo wangu upo palepale kwa sababu sioni mafanikio yangu mengine nje ya muziki, kuna wakati nilitamani ninywe sumu na kutoroka nyumbani lakini nilituliza akili na kufuata mafundisho ya kanisani ambayo yalinisaidia" Anjella ameiambia EATV & Radio Digital

Post a Comment

0 Comments