Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Anjella wa Harmonize afunguka kutaka kunywa sumu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


First Lady wa Konde Gang Anjella ameshea stori yake na EATV & EA Radio, kuhusu kutaka kunywa sumu na kutoroka nyumbani wakati anaanza ishu za kimuziki ambapo mama yake hakuwa anampa sapoti ya asilimia 100.


Anjella amesema mama yake sio mtu ambaye anapenda muziki kwa sababu ni mtu wa kanisani lakini anamshukuru Mungu amesimamia malengo yake mpaka leo amefanikiwa kusainiwa Konde Gang.


"Nilimwambia mama watanikataza, watanipiga lakini msimamo wangu upo palepale kwa sababu sioni mafanikio yangu mengine nje ya muziki, kuna wakati nilitamani ninywe sumu na kutoroka nyumbani lakini nilituliza akili na kufuata mafundisho ya kanisani ambayo yalinisaidia" amesema Anjella


Wiki iliyopita alifanyiwa party maalum ya kukaribishwa kwenye lebo hiyo ya Konde Gan na tayari ameshaachia kazi yake mpya inayoitwa kama aliyomshirikisha Harmonize.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments