Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Australia Kupeperusha Bendera Nusu Mlingoti Leo Kumuenzi Hayati Dr Magufuli DrBendera ya Taifa ya Australia itapeperushwa nusu mlingoti leo ikiwa ishara ya kumuenzi Rais wa #Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17, 2021
-
Kushushwa kwa Bendera hiyo ni Kanuni ya maombolezo na heshima ya Nchi hiyo inayosema "Bendera ya #Australia itapepea nusu mlingoti siku ya mazishi ya Kiongozi wa Taifa lolote ambalo Australia ina mahusiano nalo Kidiplomasia".


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments