Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Davido Ampongeza Burnaboy na Wizikid Kwa Kupata Tuzo za Grammy

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Davido ameweka tofauti zake na Burna Boy pembeni, ampongeza kwa ushindi wake kwenye tuzo za Grammy mwaka huu. Pia hajamuacha Wizkid pale aliposema anawapongeza washindi wote toka Nigeria.

Kupitia tweet yake masaa machache yaliyopita, Davido amesema ushindi huu ni kwa taifa zima la Nigeria; "Kwa namna yoyote unavyotazama, huu ni ushindi kwa Nigeria, kwa tamaduni na watu wangu. Pongezi kwa washindi wetu." ameandika Davido.

Post a Comment

0 Comments