Ticker

6/recent/ticker-posts
.

DC Godwin Gondwe Aagiza Wanafunzi Kufukuzwa Shule Kwa Kujihusisha na Vitendo Viovu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Mkuu wa Wilaya ya Temeke ameagiza wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Toangoma kufukuzwa Shule kwa kosa la kujihusisha na vitendo viovu ambavyo ni kinyume na maadili


DC Godwin Gondwe ameeleza hayo na kutaka Uongozi wa Shule na Kata kuchukua hatua za haraka kukomesha vitendo hivyo ambavyo vimetajwa kukithiri Shuleni hapo


Hivi karibuni imeripotiwa kuwa vitendo vya ngono vimekithiri katika Shule hiyo iliyopo Wilayani Temeke huku sababu mojawapo ikitajwa kuwa ni wingi wa Wanafunzi


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments