Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Diva amenyanyulia mikono Diamond, ndio msanii namba moja kwa sasa Tanzania

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Kupitia Instagram yake Diva ameandika haya:-


“Mtangazaji namba 1 wa kike Tanzania niliwahi Piga Picha Na Msanii Namba 1 Tanzania saa Hii na tuna wimbo wetu unaitwa Piga Simu .. so acha nipost.

Apa tulikuwa Marafiki sana apa …sana… semeni ukweli asa hivi ni msanii gan anamshinda? Hakuna..kila nikiangalia naona kawaacha mbali sana saa hii anapiga sana kazi … saa hii kawa mkaka..growth , his personality n work ethics zote amekuwa sana ..so wengine mkijitahidi pia tutawasifu. Msinune lakini …nimesema tu ukweli.. i say things in seasonal for now dude is number 1..case closed.

@diamondplatnumz is numbr 1 i said it 😇”

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments