Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Drake Amvaa Kanye West, Arudisha Uvumi wa Kuwahi Kutoka na Kim Kardashian


Mambo yalishapoa lakini kama Drake anataka kuendelea kuchimbua makaburi kuhusu tuhuma za kuwahi kutoka kimapenzi na aliyekuwa mke wa Kanye West, Kim Kardashian.


Kwenye wimbo wake mpya "Wants and Needs" toka kwenye EP yake "Scary Hours 2" Drizzy amechana; "Yeah, I probably should go link with Yeezy, I need me some Jesus / But soon as I started confessin' my sins, he wouldn't believe us." mstari ambao wengi wameuhusisha na kuwa Drake amejibu kijanja kuhusu tuhuma hizo ambazo ziliwahi kutolewa na Kanye.


Ni kwamba Drake alipanga kwenda kukutana na Kanye West kwa sababu alihitaji msaada wa kiroho, lakini mara tu atakapoanza kuungama dhambi zake, Kanye asingewaamini kabisa. Swali likaibuka ni dhambi gani ambayo Drake ameifanya?

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments