Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Fisi 22 wameuawa, wameua watu watano, Mama asimulia mwanae alivyoliwa (+video)

 


Hiki ni kisa cha Mama Elizabeth mkazi  Wilayani Nyang’wale ambae anaeleza jinsi ambavyo fisi walifika nyumbani kwake na kumbeba Mtoto wake mmoja ambae walikuwa wamezaliwa mapacha hali ambayo imesababisha Serikali Wilayani humo kuchukua hatua za kuwawinda fisi hao na kuwaua baada ya kusababisha vifo vya watu watano.


Nae Mkuu wa Wilaya ya Nyang’wale Willison Shimo amewataka wananchi ndani ya Wilaya hiyo kutoa ushirikiano wakati fisi hao wakiwindwa.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments