Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Harmonize, Kajala Wamuaga JPM Kirumba

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

MSANII wa Bongo Fleva na C.E.O wa lebo ya Konde Gang Rajabu Abdul Kahali, maarufu Harmonize akiwa na mpenzi wake ambaye muigizaji wa Bongo Movie Kajala Masanja, wamehudhuria kwenye shughuli ya kuagwa kwa mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Machi 24, kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

 

Hii ni mara ya pili kwa Harmonize kuaga mwili wa Dkt. Magufuli baada ya kufanya hivyo kwenye uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.Wawili hao ambao penzi lao linaonekana kushamiri wameonekana kuwa karibu na kufuatana sehemu mbalimbali.

 

Mwili wa Dkt. Magufuli umeagwa leo na wakazi wa Mwanza ambao walijitokeza kwa wingi barabarani na kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments