Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Juma Lokole: Alikiba amewaumbua mashabiki wake wenye chuki na Diamond kwa zaidi ya miaka 7

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE@jumalokole2 amesema kuwa yeye anamkubali sana @officialalikiba ila anamshauri kitu kuhusu @mwijaku na @soudybrown , Mwijaku na msaliti bora Soudy Brown kwahiyo alikiba awe naye makini sana maana ameshamsaliti Harmonize.“Nimeshangaa sana kuona Alikiba ancheza nyimbo ya Harmonize ya watoto Happy birthday ili ni aibu ameona amfurahishe tu maana Harmonize ametoa nyimbo nyingi sana lakini jiulize Alikiba anasema anaipenda Happy Birthday ”

Post a Comment

0 Comments