Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kama nilimkwaza mtu mnisamehe, Mimi ni binadamu- Dkt. Philip Mpango"Mimi ni binadamu pamoja na kwamba mmesema maneno mazuri juu yangu mengine hamkusema nataka nitumie nafasi hii pale ambapo nilimkwaza mtu yoyote, mhe. Mbunge yeyote humu ndani au nje katika nafasi yangu ya Waziri wa Fedha na Mipango naomba mnisamehe" Makamu wa Rais wa Tanzania Mteule, Dkt. Philip Mpango

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments