Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kanye West na Kim Kardashian hawazungumzi baada ya mchakato wa talaka

 


Kanye West na Kim Kardashian hawazungumzi baada ya mchakato wa talaka. Mtandao wa Page Six umeripoti kwamba hii imekuja baada ya Kanye kubadilisha namba yake ya simu na kumwambia Kim kwamba atakuwa akiwasiliana naye kupitia walinzi wake.


Chanzo kimoja kimeuambia mtandao huo kwamba Kanye (43) aliacha kuzungumza na Kim (40) hata kabla ya kuanza kwa mchakato wa talaka. Lakini licha ya utengano huo, wawili hao wameripotiwa kuwa wanaendelea kuwalea watoto wao Wanne kwa utaratibu wa pamoja yaani, Co-parenting.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments