Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kassim Majaliwa Amwaga Machozi Akumuaga Magufuli

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametokwa na machozi wakati akitotoa heshima za mwisho kwa mwili ya Hayati Rais John Pombe Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru, mkoani Dar es Salaam, leo Jumamosi Machi 20, 2021, Kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa.

Post a Comment

0 Comments