Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Katiba ya Tanzania inavyoeleza baada ya Rais kufariki dunia

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREDar es Salaam. Baada ya Rais wa Tanzania John Magufuli kufariki dunia, hakuna uchaguzi mwingine unaofanyika badala yake, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ataapishwa kuwa Rais kwa kipindi kilichosalia katika muhula wa miaka mitano.


Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 37 (5), baada ya Samia kuapishwa atashauriana na chama anachotoka (CCM) kisha atamteua mtu atakayekuwa makamu wa Rais. Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments