Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kauli ya Makonda Baada ya Kumuaga JPM


K
ALIYEKUWA kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameonyesha kuumizwa zaidi na msiba wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo amesema kuwa bado anaamini amelala na hajafariki.“Pamoja na kukuona jana bado moyo wangu unaamini umelala hujafa. Rafiki, kaka na Kiongozi wangu utakapo amka usingizi kuna jambo nitakwambia,” ameandika Makonda.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments