AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanasheria Mkuu wa Serikali alifungua kesi dhidi ya Mawakili Jebra Kambole na Edson Kitalu akitaka wafutwe Uwakili kwa madai ya kudharau Mahakama kinyume na Maadili ya Mawakili
Kamati ya Maadili ya Mawakili inatarajia kukaa Machi 15, 2021 kujadili tuhuma zinazowakabili ambazo zilifunguliwa Agosti 10, 2020
#JamiiForums
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK