Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kocha Aliyefukuzwa Yanga Afunguka Haya Baada ya Kutimuliwa


 Wiki iliyopita Kulisambaa Taarifa Za Klabu Ya @yangasc Kuachana Na Kocha Wake @officialcedrickaze Endapo Klabu Itashindwa Kuendelea Kufanya Vizuri, Tofauti Na Matarajio Ya Wengi. Mashabiki Na Wanachama Wa Yanga Walionekana Kutoridhishwa Na Kiwango Cha Timu Hata Pale Inaposhinda, Mfano Mechi Ya Yanga Dhidi Ya Kengold Fc


Hali ilizidi Kuwa Mbaya Zaidi Kwa Mashabiki Na Wanachama Wa Yanga Baada Ya Kupoteza Mchezo Dhidi Ya Coastal Union. Rasmi Siku Ya Jana (7 March 2021) Klabu Ya Yanga ikaamua Kuachana Na Kocha Wake Mkuu Pamoja Na Benchi La Ufundi Baada Ya Kupata Sare Dhidi Ya Polisi Tanzania


Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram @officialcedrickaze Aliandika Ujumbe Huu Baada Ya Kufutwa Kazi Na Yanga


“Wananchii it was a pleasure to work with you during these 5 months...

The Patience is a virtue.

18 league Games:

10 wins

7 draws

1 Loss

4 Games for Mapinduzi Cup:

Winner of Mapinduzi Cup...


I leave Young Africans in 1st place and that’s my pride...

Wishing you all the Best...


This is just a Goodbye...


Wananchii nimefurahi katika iyi myezi mitano tumetumika pamoya, tumepata furaha na tukapata wakati mugumu alakini njo gisi Biko kwenye football...

Subira iko ngumu kwa watu wengi...


Naenda kifuwa mbere ju naamini kama kwa muda nimekaa na team tumewapatiya furaha na tukabapatiya kikombe ca kwanza katika myaka 3...”


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments