Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kumekucha... Hasara bilioni 60 Air Tanzania

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Serikali, Charles E. Kichere amesema Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) limetengeneza hasara ya shilingi bilioni 60 (60B) kwa mwaka na kwa kipindi Chote cha miaka ya nyuma shirika hilo limekuwa likitengeneza Hasara.“Katika ukaguzi wetu wa mwaka 2019/2020 tumegundua Shirika letu la Ndege limetengeneza hasara mwaka huu ya Tsh.Bilioni 60 ila kwa miaka mitano pia limekuwa likitengeneza hasara, kuna changamoto ambazo Serikali inabidi iziangalie ili Shirika letu litekeleze majukumu yake vizuri”

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments