Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mahakama yamuamuru Rais wa Brazil kumlipa fidia mwandishi kwa kumdhalilishaMahakama Nchini Brazil imemuamuru Rais Jair Bolsonaro kumlipa fidia Mwandishi wa Habari wa kike kwa kumtolea maneno ya kumdhalilisha

Rais Bolsonaro alitoa kauli dhidi ya Patricia Campos Mello wa gazeti la Folha de S.Paulo, akidai alihonga rushwa ya ngono kwa chanzo chake cha Habari ili kimpe taarifa zenye mlengo hasi dhidi yake


Jaji amesema maneno ya Rais Bolsonaro yalilenga kumvunjia heshima Mwandishi huyo na aliamua amlipe Dola 3,473 (Takriban Tsh. 8,053,887) kama fidia, na anaweza kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments