Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Makamu wa Rais Aedelea na Ziara Muheza na Pangani Tanga

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Majengo Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga alipokua njiani akielekea katika Kijiji cha Pongwe kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi na Salama wa Mji wa Muheza leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi na Salama wa Mji wa Muheza leo March 16,12021.


Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akiangalia Maji muda mfupi baada ya Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi na Salama wa Mji wa Muheza katika Kijiji cha Pongwe Wilayani Muheza leo March 16,12021.


Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga leo March 16,12021.


Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Pongwe Wilaya ya Muheza baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Muheza Mkoani Tanga leo March 16,12021.


Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Utawala la Halmashauri aya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga leo March 16,12021.

 

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Machi 16, 2021 yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments