Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Malkia Elizabeth Amjibu Prince Harry
SIKU chache tangu Prince Harry na mkewe Duchess Meghan kufanya mahojiano na Oprah Winfrey, Malkia wa Uingereza Elizabeth II amemjibu mjukuu wake kuhusiana na shutuma hizo.

Meghan ambaye alidai kulikuwa na mjadala wa kiasi gani mwanaye atakuwa mweusi, na hilo litapelekea asipewe hadhi ya mwanamfalme (Prince)

Mamlaka katika makazi ya Malkia, maarufu Buckingham Palace, zimeitisha kikao cha dharura kufuatia madai hayo yaliyotolewa na mwanamfalme Harry na mkewe, Meghan Markel na kuwa wanatoa tamko hivi karibuni kutokana na shutma hizo.

 

Taarifa ya Malkia iliyosomwa kwa niaba yake  jana Machi 9, inasema familia  inasikitishwa na kitendo hicho chenye viashiria vya ubaguzi ambayo vimeidhalilisha familia ya Malkia na uchunguzi rasmi umeanza ili kubaini waliohusika kwenye jambo hilo na bado familia hiyo ya kifalme itaendelea kudumisha upendo kwa  Prince Harry na Meghan.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments