Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Malkia Elizabeth atuma salamu za rambirambi kwa Watanzania kifo cha hayati rais Magufuli
Ujumbe kutoka kwa Malkia Elizabeth wa Uingereza pamoja na familia yote ya kifalme imetuma salamu za rambirambi kwa Tanzania.Kupitia ukurasa wa Twitter, Malkia amesema yeye pamoja na Mwana mfalme Philip wamesikitishwa na taarifa ya kifo cha rais John Magufuli.

Na salamu zake za dhati ziende kwa wapendwa wake na raia wa Tanzania.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments