Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mkalimani: Sikusikia vizuri mitambo ya sauti yangu ilikuwa inakata

Mkalimani aliyekuwa akitafsiri hotuba za viongozi kwa lugha ya Kiswahili  wakati wa shughuli ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli jijini Dodoma, aliyeibua hisia tofauti kwenye mitandao ya kijamii amesema kuwa hakusikia vizuri mitambo ya sauti.
Kauli hiyo ameitoa leo Machi 29 wakati akihojiwa katika kipindi cha leo tenda cha Clouds FM

“Kilichotokea ni mimi sikuweza kusikia vizuri mitambo ya sauti yangu ilikuwa inakata licha ya watu wengine kusikia vizuri” Matungwa Mutatina,

Nazungumza Kiswahili, Kingereza, Kifaransa, Kihaya, Kinyambo na Kisukuma jumla ni lugha sita ninazozungumza” Matungwa Mutatina, Mkalimani

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments