Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mlinzi, Mkewe Wauawa Kikatili, Miili Yaokotwa Ndani ya Virob

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
MLINZI wa nyumba ya aliyekuwa Jaji wa mahakama ya Rufani Tanzania, marehemu Jaji Bethuell Milla, Samson Ndavi na mkewe Christina Mwakilembe wameuawa kikatili kwa kupigwa na nondo vichwani jijini mbeya na watu wanaodaiwa kuwa walikuwa na nia ya kumiliki mali zilizokuwa ndani ya nyumba hiyo.

Post a Comment

0 Comments