Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Monalisa Atangazwa Kuwa Msemaji wa SimbaMachampioni watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara Simba Queens, wamemtangaza rasmi Msanii nguli wa filamu Bongo, Monalisa kuwa Msemaji wa timu hiyo.


Mlezi wa Simba Queens, Fatema Dewji amemtambulisha muigizaji huyo mashuhuri katika tasnia ya Filamu nchini na mwenye mafanikio makubwa kwenye upande huo kuwa Msemaji wa timu hiyo.


”Mlezi wetu Fatema Dewji (@fatemagdewji) amemkaribisha rasmi Monalisa (@monalisatz) kama msemaji wa simba queens tunaimani Monalisa atafanya kazi nzuri katika kueneza taarifa zote zinazohusiana na @simbaqueensctanzania kwenye jamii yetu.

Kwa uzoefu wa Monalisa tunaimani atakwenda kuwa msemaji bora wa timu yetu na uzoefu wake aliokua nao katika jamii. Karibu Simba Queens Msemaji Wetu πŸ‘ΈπŸ¦ @monalisatz ,” imeeleza taarifa hiyo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments