Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mwanafunzi Amuua Mwalimu Kwa Kumpiga Jiwe Kichwani

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Mwanafunzi wa Darasa la Sita anashikiliwa na Polisi akihusishwa na kifo cha Mwalimu wake. Inaelezwa, alimpiga na jiwe kufuatia malumbano nyumbani kwa Mwalimu huyo


Tukio hilo limetokea Kaunti ya Kakamega Nchini humo na kwa mujibu wa taarifa, Mwalimu alifariki dunia wakati anapatiwa matibabu


Imeelezwa, Mwalimu alimfokea Mwanafunzi huyo kwa kuingia nyumbani kwake kinyemela ili kuchota maji na wakati wa mvutano huo ndipo Mwanafunzi alichukua jiwe na kumpiga nalo kichwani


Post a Comment

0 Comments