Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mwanaharakati Aliyegoma Kula Gerezani Kwa Siku 19 Aachiwa HuruMOROCCO
Mwanahistoria na Mwanaharakati, Maati Monjib aliyekuwa jela na kugoma kula kwa siku 19 ameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa kipindi cha miezi mitatu

Monjib anayefahamika kwa msimamo wake wa kuzikosoa Mamlaka Nchini Morocco alikamatwa Desemba 29, 2020 kama hatua ya uchunguzi wa awali kuhusu tuhuma za kuhusishwa na utakatishaji fedha

Mwanaharakati huyo anasema tuhuma dhidi yake zimetengenezwa na sasa kwakuwa ameachiwa huru atapigania uhuru wa wafungwa wengine wanaoshikiliwa kutokana na mitazamo yao.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments