Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mwili wa Hayati utasimama nyumba kwa Mjane Janeth Magufuli kwa dakika 10- Waziri Majaliwa

 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi ya Kitaifa amesema kuwa mwili wa Dkt. John Magufuli utapelekwa Chato mkoani Geita kwa gari ili kutoa fursa kwa watu wote waliopo njiani kuaga. Mwili huo utasimama nyumba kwa Mjane (Janeth Magufuli) kwa dakika 10, kisha utaendelea na safari.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments