google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mzee alievamia Bank kuiba Dola 1 ili afungwe | UDAKU SPECIAL

Mzee alievamia Bank kuiba Dola 1 ili afungwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Timothy Dean Alsip (50) wa Oregon Marekani aliwahi kuvamia Bank na kufanya tishio la kutaka kupora USD 1 (Tsh. 2319) alifanya hivyo makusudi ili ipigwe simu Polisi na kweli Benki waliipiga huku yeye akikaa kwenye sofa kuwasubiri.


Lengo lake lilikuwa afungwe Gerezani ili akapate msaada wa matibabu, Timoth alikuwa ni ombaomba mwenye maisha magumu ambaye hakuwa hata na pa kuishi, siku ya tukio Benki alimtishia Muhudumu ampe $ 1 na akigoma atampiga risasi, Muhudumu alikimbizwa Hospitali kwa presha na Timothy akahukumiwa miezi isiyozidi 12 Gerezani.


Akiwa Mahakamani licha ya kukiri kufanya hivyo makusudi ili aende Gerezani kwa nia ya kupata matibabu ya bure ya mgongo na miguu, aliiambia Mahakama kuwa kama kifungo kitakuwa kifupi akitoka atarudia tena kosa

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad