Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Nchi yetu itakuwa na maombolezo ya siku 14 na bendera nusu mlingoti- Makamu wa Rais

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
 “Rais Magufuli alilazwa March 6 Hospitali ya J.Kikwete na kuruhusiwa March 7 na kuendelea na majukumu, March 14 alijisikia vibaya na akarudi Hospitali ya Mzena kutibiwa hadi umauti unamkuta, Nchi yetu itakuwa na maombolezo ya siku 14 na bendera nusu mlingoti” Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.


Post a Comment

0 Comments