Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Ni heshima kubwa sana, sikuwahi kuota- Mpango

"Napenda kumshukuru sana Mh. Rais mama yetu Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu kwa kupendekeza jina langu na kuridhiwa na Chama chetu cha CCM ili liletwe hapa ili kuthibitishwa na bunge. Ni heshima kubwa sana, sikuwahi kuota."- Makamu wa Rais wa Tanzania Mteule, Dkt. Philip Mpango

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments