Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Nimeongea na JPM leo, yupo imara

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema leo asubuhi amempigia simu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli akimshukuru kwa kuidhinisha fedha za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani humo

Post a Comment

0 Comments