Nisha: Mwanangu Akipata ‘Division One’ Nampa Insta Yangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





KUMEKUWA na utaratibu kwa mzazi kumuahidi vitu mtoto wake kama njia ya kumshawishi ili afanye vizuri kwenye masomo, sasa msanii wa filamu Nisha Bebe ametoa kali ya mwaka kwa kusema mtoto wake akipata ‘Division One’ atampa akaunti yake ya mtandao wa Instagram.

 

 

Nisha Bebe amesema ana mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 16 na yupo kidato cha nne kwa sasa, hivyo ametumia njia hiyo kumpa nguvu kwenye masomo yake ili asiwe na vishawishi vingine, tamaa au ustaa ambavyo vitaharibu masomo yake.

 

 

“Mimi mtoto wangu hakuna mtu anayemjua ana miaka 16 yupo ‘form four’ hata shule watu hawajui anasoma wapi na nimeamua kuishi nae hivyo mpaka akifikisha miaka 18 ndiyo nitampost, nimemwambia akipata division one ya 7, nampa page yangu ya Instagram inakuwa ya kwake na jina nabadilisha,” ameeleza Nisha Bebe.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad