Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Pablo Escobar Mwalifu wa Madawa ya Kulevya Aliyepiga Picha Ikulu ya Marekani Huku Anatafutwa na Polisi


Pichani Hapo Juu Ni Pablo Escobar Na Mwanae Juan.

Pablo Escobar alikua mfanyabiashara mkubwa sana wa madawa ya kulevya duniani. Alikuwa anasambaza na kumiliki soko la madawa ya kulevya kwa asilimia 80 duniani.

Sasa turudi kwenye hiyo picha apo juu. Hiyo picha ilipigwa mwaka 1981 nje ya geti la ikulu ya marekani (white house), kipindi hiko jamaa alikuwa ni muhalifu anaetafutwa sana na serikali ya Marekani (Most wanted criminal), lakini mwamba alipiga zake picha za kutosha na mapozi kama unavyoona, kisha akaondoka zake bila kustukiwa na mtu yeyote licha ya ulinzi mkali katika eneo ilo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments