Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Penzi la Jennifer Lopez na Alex Rodriguez lafika tamati

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMuimbaji wa wimbo uliosumbua sana wa " Love don't cost a thing" Jennifer Lopez almaarufu kama J.Lo ameachana rasmi na mume wake Alex Rodriguez.

Wawili hawa wameachana baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka takribani 4 sasa lakini penzi lao limefika mwisho rasmi.

J.Lo na A. Rod, walianza mahusiano yao mwaka 2017, na rasmi alimvalisha pete ya uchumba mwaka 2019.

Haijajulikana mpaka sasa ni kitu gani hasa kilichopelekea wawili hao kuachana, huku taarifa zikieleza waliachana jana 12/03/2021.

Awali walishaanza mipango ya harusi kabla ya ugonjwa wa Covid 19 kushika kasi mapema 2020. Ugonjwa wa Covid 19, umekuwa ni sababu kubwa kutofanyika kwà harusi yao mpaka wanaachana.

Alex Rodriguez amepost picha mapema jana akiwa Miami kwenye Yacht akisema "Don't mind me, just a sailfie, what are your plans for the weekend? Mara ya mwiaho kupost picha wakiwa pamoja ilikuwa ni Februari 28/03/2021.

Jennifer Lopez yuko Jamhuri ya Dominican akifanya filamu wakati Alex Rodriguez akiwa Miami.

Kuachana kwao kunakuja baada ya kusemekana kwamba Alex Rodriguez ana mahusiano na Madison LeCroy.

Watu wa karibu wa Alex Rodriguez wamekanusha wakisema hata hawajawahi kukutana lakini story imesambaa sana.

#MichuziTV

#ChaguaKupambana

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments