Komedian matata wa kike Bongo, Gladness Kifaluka ‘Pili Kitimtim’ anasema kuwa kwa wasanii wa kike wa uchekehaji Bongo, yeye ndiye umalkia kamili.
Gladness anasema hakuna komediani wa kike ambaye anaweza kumfikia hata robo kwenye uchekeshaji.
“Mimi ndiye msanii wa kike kwenye uchekeshaji, anayebisha aje tushindane, kwa mambo ninayoyafanya kwa sasa hivi kwenye hii tasnia naweza nikasema mimi ndiye malkia,” anasema Gladness
Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
0 Comments