Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Polisi wafunguka video ya Rayvanny na Paula "Tunachunguza simu"Kesi bado inaendelea ipo chini ya upelelezi na haujakamilika kwa sababu ni upelelezi ambao sio wa mtu mmoja unahitaji wakati mwingine kupata expert evidence sio tu upelelezi wa Polisi Oysterbay itahusisha watu wengine kutoka nje ya Ofisi ya RCO.

“Mpaka sasa hivi bado mapema hadi tutakapokamilisha pande zote zinazohusika na Upelelezi, suala la muda ni vigumu kusema kesi na kesi inategemeana unaweza kukuta kuna mlolongo wa simu kwahiyo inahitaji kufatilia’- Polisi


‘Lakini hadi sasa hivi hakuna tunayemshikilia wote walishadhaminiwa wakati uchunguzi unaendelea, hadi sasa tulionao ni wale wale wawili pamoja na mtoto wake Kajala kwahiyo wapo watatu ambapo uchunguzi upo katika simu zao,” Kaimu Kamanda wa Polisi Kinondoni ACP, Japhet Kibona’- Polisi

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments