Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Poshy: Uzazi Umeniongezea Mvuto

MREMBO ambaye umbo lake lilimfanya kumpa jina kubwa hapa mjini, Jacqueline Obadia ‘Poshy’ amesema kuwa tangu amejifungua mtoto wake, amezidi kuwa mrembo tofauti na hata alipokuwa hajajifungua.

Akizumgumza, Poshy alisema kuwa watu wengi wanadhani kuwa unapopata mtoto mwili unaharibika lakini ukweli ni kwamba ukizaa na ukajikubali mwili unakuwa mzuri na unaongezeka mvuto.“Toka nimejifungua kwa kweli naona kabisa mvuto umeongezeka sana maana wengine walikuwa wanasema kuwa ukijifungua utaharibika lakini ukweli ni kwamba tangu nijifungue nimezidi kuwa bomba sana na ninavutia tofauti hata na mwanzo,” alisema Poshy.

Stori na Imelda Mtema | GPL

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments